Huduma zote za uwakala
katika jukwaa moja

Wakala nami inakupatia huduma mbali mbali kutokana na shughuli za uwakala nchini Tanzania.

💰

Kuomba na kupokea float

Pata float kwa urahisi na uhakika kutoka kwa mawakala walio kwenye mtandao wako kwa urahisi na haraka.

📊

Usimamizi wa mzunguko wa fedha

Mfumo unaonyesha kwa uwazi fedha zinazoingia na kutoka ili wakala aweze kujua hali yake ya kifedha wakati wote.

📄

Taarifa za miamala

Hifadhi taarifa za miamala na maombi ya float. Fuatilia taarifa kwa urahisi na haraka kwa kupata ripoti ya muda husika.

📈

Ripoti na Takwimu za Kibiashara

Mfumo unatengeneza ripoti mbalimbali za kifedha na utendaji ili kusaidia kufanya maamuzi ya kibiashara.

⚡

Taarifa za muda halisi

Mfumo unaonyesha taarifa na mabadiliko yote kwa muda halisi, hivyo maamuzi yanafanyika kwa haraka na kwa usahihi.

🛡️

Usalama wa taarifa

Kila wakala anahakikiwa na kulindwa kupitia hatua za usalama zinazozuia udanganyifu na matumizi mabaya.

✦ Unataka kuwasiliana nasi?

Tupo hapa
kukupa msaada.

Wasiliana nasi kwa maswali, maombi ya huduma, au usaidizi wowote unaohitaji katika shughuli zako za uwakala.